Badilisha maisha.
Um diese Seite auf Deutsch zu sehen, klicken Sie hier.
To see this page in English, click here.
Malengo yetu.
Tia Moyo ni “Internationally Registered NGO”, inayowapa watu maskini wa Tanzania pesa kwa miradi midogo.
Wapokeaji wanaweza kuamua pesa zinatumikaje, na miradi inapanga pamoja na wapokeaji na washauri watanzania. Miradi ya mfano inaweza kuwa kuanza biashara ndogo, kulipa michango au vifaa vya shule, au kuboresha nyumba.
Kwa kuwaacha watu wajiamulie wenyewe jinsi wanavyoweza kuboresha kiwango chao cha maisha, tunalenga kufikia upunguzaji wa umaskini kwa ufanisi, unaolengwa na endelevu.